watu 12 wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa

taarifa zilizo tufikia hivi punde kwamba basi la kampuni 



ya new fore lililokua likitikea dar kuelekea mbeya limepata ajari baada ya kugongana na roli la mbao lililo pasuka tairi eneo la mahenge wilaya ya kilolo mkoani iringa. Takribani watu 12 wamefariki na 22 kujeruhiwa
#pichazote na +Haki Ngowi

baadhi ya wasamalia wakiwasaidia majeruhi