TIMBULO ALIMIZWA NA USALITI WA DR SLAA

TIMBULO ALIMIZWA NA USALITI WA SLAA


Msani wa kizazi kipya ambae anatamba na ngoma DOMO LANGU ZITO . NAKUMISMIS na vingine vingi afunguka na kusema yeye ni mwana ukawa harisi na alisikitishwa sana na usaliti wa aliyekua mwanachama wa chama hicho    DR SLAA


ALICHOKISEMA HIKI HAPA

“kila mtu ana maamuzi yake, wao wamefanya wanachoona kina manufaa kwao, ila wananchi wanataka mabadiliko, amesaliti Slaa, Lipumba sembuse wao? haijaniumiza hata kidogo, aliyeniumiza ni Slaa niliyepoteza kura yangu 2010 kwa ajili yake” alisema Timbulo