ACT WAZALENDO WAJIPANGA KUCHUKUA JIMBO LA KIBAHA MJINI

ACT WAZALENDO WAJIPANGA KUCHUKUA JIMBO LA KIBAHA


CHAMA CHA WAZALENDO TANZANIA MAPEMA HIVI LEO KILIKUA KATIKA  KAMPEBI ZAKE HUKO KIBAHA MJINI NA  Kwawaomba wananchi wa Kibaha muichague ACT Wazalendo ili iweze kuendeleza vita dhidi ya ufisadi na kusafisha nchi yetu dhidi ya wala rushwa


ZITO KABWE akimtambulisha jukwaani Mgombea ubunge mdogo kuliko Wote Luth Kitentya anayegombea Jimbo la Kibiti





Kundi kubwa la watu waliojitokeza leo mchana







ZITI KABWE akimnadi Mgombea ubunge wa Kibaha Mjini MCHANGE mpeni kura za NDIO tuungane kuleta mabadiliko