SHETTA ANAULIMBUKENI WA MKWANJA

SHETTA  AMWAGA PESA 



msanii shetta a.k.a baba baba kaila kafana kufuru ya kumwaga pesa a kupost maneno  yenye kuwanyamzisha mashabiki. Mkali huyo wa shikorobo ambae pia ni mwanachama wa CCM 


amefikaririwa vibaya na wadau mbali mbali wa muziki na kuhisi ni ulimbukeni,shetta alifanya tukio hili mchana kweupe na 


hiki ndicho alicho sema

Mabrother Nao wabwetere.... Wafyetere...!
Napenya timbili Zao kiubwetere... So ma Yow Yow Young's haina budi Muache Kelele....!! Acheni kelele.....