SASA PICHA YA MTOTO WA DIAMOND NJE NJE
Huyu ndie binti wa Star wa muziki Tanzania/Africa 'Diamond Plutnumz', Anaitwa Lattifah Naseeb Abdul 'tiffah'.
ikiwa leo ni siku ya 40 tokea mtoto wa msanii DIAMOND PLATNUMZ azaliwe NMB ndio company pekeee iliyoweza kupanda dau na kuwezesha picha hiyo kuonekana.NMB imefanya hivo kwenye campaign zake za #NMBJUNIORACCOUNT .
Mama wa mtoto huyo ameoneka kafurahishwa sana na kitendo cha mwanae kua superstar mtoto ..
HIKI NDICHO ALICHOKISEMA ZARI THE BOSS LADY
This is my daughter Latiffah Bint Nasibu Abdul aka@princess_tiffah
Anyone can open NMB Junior Account for their child and safe keep money for their education and future needs. Enjoy competitive interest rates while your child's savings is kept safe. For more information, call 0800112233 or visit your nearest NMB branch. Follow@nmbtanzania and NMB Tanzania
SASA PICHA YA MTOTO WA DIAMOND NJE NJE
Reviewed by
young super
on
September 20, 2015
Rating:
5