CHUI AMUUA MUHUDUMU NEW ZEALEND

CHUI AMUUA MUHUDUMU NEW ZEALEND 



Mhudumu mmoja wa bustani ya kuhifadhi wanyama ameuawa na chui mwenye milia huko Hamilton New Zealand.





Kupitia kwa kwa mtandao wao wa twitter bustani hiyo ya kuhifadhi ya wanyama ya Hamilton ilisema

 ''Tunasikitika kuwa tumempoteza mmoja wa wahudumu wetu wa bustani ya wanyama baada ya kushambuliwa na chui mwenye milia kutoka Sumatra.''

''kwa sasa tunaendelea kutoa msaada wetu kwa familia ya mhasiriwa.Afisa mkuu wa bustani hiyo bi Juliet Burgess amesikitishwa sana na tukio hilo.
''ni tukio la kuhuzunisha sana kupoteza maisha katika bustani hii''