PROFESA JAY AAMUA KUGOMBEA UBUNGE

PROFESA JAY AAMUA KUGOMBEA UBUNGE


mwanamuziki mkongwe wa bonga flava, JOSEPH HAULE ajitosa rasmi kwenye siasa kwa

kuchukua fomu ya kugombea ubunge, Mapema jana asubuhi Joseph alifunga safari tokea dar na kwenda (mikumi0 morogoro ili akapate utaratibu wa kuchukua fomu, bwana Joseph haule hakuweza kutaja araka amechukua fomu ya chama gana ila hivi punde atajitambulisha na kujionyesha yupo upande upi.



profesa jay alimalizia kwa maneno haya



Nimechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa Mr. Idd Mshili ambaye ndie msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.. Eeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE!!