SAD NEWS>>>>>>> ASLAY KAMPOTEZA MAMA AKE MZAZI

ASLAY KAMPOTEZA  MAMA AKE MZAZI





MSANII mdogo na anaefanya vizuri kwenye tasnia ya  musik wa kisasa  aslay isihaka mapema jana alipatwa na msiba wa mama ake mzazi....

    MUNGU AILAZE ROHO YA MAMA  ETU MPENDWA AMINA>>

Pacha Wangu Sura Yako Itabaki Kuwa Usoni Kwangu Mpaka Mungu Atakaposema Nikufate Mama Angu Tumuache Mungu Aitwe Mungu Nakupenda Mama angu Nakupenda Saaana Moza Wangu