KAULI TATA ZA SUMAYE 2015
HIZI NDIZO KAULI TATA ZA SUMAYE
KUHUSU KUNYANG'ANYWA MASHAMBA>>>
Suala la kunitisha kuninyang’anya mashamba yangu ni kunikomaza zaidi kwa kuwa naamini suala hilo ni sawa na kumpiga chura teke.
KUHUSU KUHAMIA UPINZANI
Wanasema tuliohamia upinzani tumechanganyikiwa, kuamua kuwatetea wanyonge wanaonyanyaswa ni kuchanganyikiwa?
"Hali ya CCM ni mbaya angalia Mabango ya CCM yanasema chagua Magufuli sio chagua chama cha CCM"