HAWA MARAISI WA AFRICA WANOUJUA UTAMU WA MADARAKA

HAWA NDIO VING'ANG'ANIZI WA MADARAKA



6 Yoweri Museveni 

NCHI Uganda 

AMEONGOZA Miaka 29 

alichukua uongozi rais baada ya kundi lake la waasi kuchukua madaraka mwezi Januari 1986


5 Denis Sassou Nguesso 

NCHI Congo

AMEONGOZA  Miaka 30


aliwekwa uongozini na jeshi mwezi Oktoba 1979 na akaongoza hadi mwezi Agosti 1992. Alirejea tena Oktoba 1997 na kuendelea hadi sasa.



Paul Biya 

NCHI Cameroon,

AMEONGOZA Miaka 32


alichukua uongozi baada ya kujiuzulu kwa rais wa kwanza wa nchi hiyo Ahmadou Ahidjo, Novemba 1982


Robert Mugabe 

NCHI Zimbabwe

AMEONGOZA Miaka 35


alishinda uchaguzi wakati wa kujinyakulia uhuru kwa taifa hilo Aprili 1980



2Jose Eduardo dos Santos 

NCHI Angola

AMEONGOZA  Miaka 36

alichukua uongozi baada ya kifo cha rais wa kwanza wa taifa hilo Agostinho Neto Septemba 1979



Teodoro Obiang Nguema Mbasogo 

NCHI Equatorial Guinea

AMEONGOZA Miaka 36

alichukua madaraka kupitia mapinduzi ya serikali mwaka Agosti 1979