MBATIA ATOA UTAFITI WA KURA

MBATIA ATOA UTAFITI WA KURA




TUJIKUMBUSHE UCHAGUZI 2015


mwenykiti mwenza wa ukawa amesema kua utafiti uliofanywa na nchi za nje unaonesha kua chadema ndo   chama bora hapa Tanzania na pia watashinda kwa kishindo na kuwaangusha chama tawala
anasema 

          Utafiti wa ndani wa UKAWA uliofanywa na watafiti huru kutoka nje ya nchi zinaonesha Edward Lowassa atapata asilimia 74 ya kura zote

pia mbatia hakuishia hapo alisema 

               Watanzania naomba waelewe UKAWA tunasimamia utu, uzalendo, uadilifu, umoja, uwazi, uwajibikaji ndani ya Tanzania


Mbatia amekua mtu mwenye chachu ya maendeleo katika chama chake na ametoa mchango mkubwa hata kabala ya lowassa haahamioa CHADEMA