PICHA ZA INTERVIEW YA DIAMOND CNN ZIPO HAPA

DIAMOND AFANYA INTERVIEW CNN



Mfalme wa pop east africa nasib abdul hivi punde ametoka kufanya mahojiano na  chanel ya kimataifa ya CNN. katika mahojiano hayo diamond alielezea mahusiano yake na zari pia na kazi yake kimuziki