HAYA NDIYO YALIYOJIRI CHATO
Ikiwa compaign zikiendelea kulindima hiki ndicho alichokisema magufuli Ushindi tutakaopata Oktoba 25 ni wa kishindo. Nimebakiza mikoa 14, mikoa yote niliyopita nimeona ushindi waziwazi.

moja ya ziara zake dk magufuri
umati wa wananchi wa chato wakiwa wamefurika kumsikiliza dk magufuli

Bi Janeth Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika mji wa Chato jioni hii
mikoa yote niliyopita nimeona ushindi waziwazi Magufuri afunguka
Reviewed by
young super
on
September 20, 2015
Rating:
5