DITTO AWAGEUKIA UKAWA

DITO   AIPONDA KAULI MBIU YA UKAWA



Msanii wa kizazi kipya lameck   ditto aiponda slogan ya umoja wa katiba ya wananchi  (UKAWA) kuwa ni ya watu wachache
           ditto alisema kuwa hiyo slogan ni ya matajiri na pia walio anzisha huo msemo utajiri wamepatia katika chama hicho hicho cha ccm
msanii huyo ambaye ni mwanachamawa ccm Pia hakuishia hapo alisema kua Mabadiliko ya kweli yanaanza na wewe mwenyewe kwa kufanya kazi huku ukiwezeshwa na uongozi safi wa viongozi waadilifu


ALICHOKISEMA HIKI HAPA

Waliowafundisha hiyo Slogan ya Mabadiliko wengi ni matajiri na utajiri wameupata katika nchi hii hii mnayoitukana #Tanzania #HapaKaziTu