MATOKEO YA UCHAGUZI SASA KUBANDIKWA KWEMYE KITUO HUSIKA
Katika kila kituo cha kupigia kura yatabandikwa matokeo ya Diwani, Mbunge pamoja na Rais, amesema Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva. Hivyo katika kila kituo wananchi wa eneo hilo watajua Rais, Mbunge na Diwani wamepata kura ngapi katika eneo lao halafu zinajumlishwa zote katika kata. Jaji Lubuva amesema wameboresha zaidi mwaka huu kwa kufanya hivyo ili kila kitu kiwe wazi kwa wananchi
MATOKEO YA UCHAGUZI YATABANDIKWA KWENYE KITUO HUSIKA
Reviewed by
young super
on
September 19, 2015
Rating:
5