YUSUF MANJI APATA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRICA

YUSUF MANJI APATA TUZO YA KIONGOZI  BORA AFRICA 


MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (Pichani) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika, 
 yusuf manji amepata bahati hiyo baada ya kuongoza vizuri kwenye biashara, hii imekua neema kubwa kwa watanzania kwa kumtoa mtu huyo bora

Aliko Dangote wa Nigeria, 

pamoja na wengine wengi. Kutoka afrika .