MTIKILA AFARIKI DUNIA
TANZIA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI DUNIA
Aliekua mwanasiasa mkongwe wa chama cha DP MC,Christopher mtikila, mapema hivi leo amepata ajali ya gari na kufa papo hapo ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,Jaffar Mohamed
amethibitisha kifo cha mchungaji Mtikila RPC Mohamed amesema Mtikila alikuwa
akitokeaMorogoro kuelekea Dar na
alikuwa na watu watatu katika gari hilo ambao wamejeruhiwa Amesema chanzo cha
ajali hiyo bado kinachunguzwa.