IZZO BUSNESS ALIA NA RAISI AJAE

IZO BIZNESS ALIA NA AJIRA


ikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu,msanii wa miondoko ya hip hop tokea mbea city mapema jana alionesha msimamo wake wa kukazia Raisi ajae ahakikishe  anaipa ajira kipaumbele ili kupunguza wimbi kubwa la vijana wanao jihusisha na mabo yasiyofaaaa katika jamii

“Mimi napenda kwanza nimtambue kama baba, maana sisi ndio tunakuwa kama watoto kwake, aweze kutuongoza wanae kuyafikia maendeleo zaidi, atatue tatizo la Ajira, Aongeze kasi ya kiuchumi na kuangalia sekta ya viwanda.
“Unajua sasa hivi ukiangalia ujambazi umeongezeka kwa sababu vijana hawana ajira, kwa hiyo awe tu baba mwenye uelewa wa mambo mengi” Alisema Izzo.
Katika ‘line’ nyingine, mkali huyo kutoka Mbeya alifafanua kwanini hashiriki katika kampeni kwenye uchaguzi wa mwaka huu, amedai anaogopa kuwagawa mashabiki wake katika makundi.