HAYA NDIO YALIYO MKUTA NAY WA MITEGO

NAY WA MITEGO AMELIZWA


Msanii nay wa mitego mapema hivi jana ameibiwa   na hii sio mara yqa kwanza kwa nay kufanyiwa hivi na hiki ndichop alicho kisema 


AMESEMA HIVI

"Niaje watu wangu!? Siko poa siku nzima ya leo. Nilitaka nikae kimya nisiongee chochote but nimeona itakua si sahihi sababu naweza nikawa naendelea kufuga matatizo... Sipo Dar nina 2weeks.
Usiku wa kuamkia leo kuna watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwangu Kimara, walikua wamevaa Mask (Ninja) wakati wanahangaika kukata nyaya za fens alarm ikawa inapiga kila wakati. Wakaona wapande juu ya mstimu ili wakate umeme nyumba nzima ndo waingie, but Majilani zangu ndio wakaamua kutoka na kuwaitia kelele za mwizi.Walifanikiwa kukimbia, walikua na gari aina ya LandCruser nyeusi but haikua na Plate Number.. Nashukuru Mungu familia yangu ipo salama na awakufanikiwa kutimiza walilotaka kufanya. Taarifa zipo Police tayari, Kama ni Wezi, Majambazi au Walitumwa all the best endeleeni.!! Nawapenda wote mnao nipenda ata mnaonichukia pia. Sote ni watoto wa baba 1. ‪#‎NAJITAMBUA‬"