VANESSA MDEE AKIONA HIKI KITU KWA JUX ANACHOKA KABISA

HIKI NDICHO ALICHO DATA NACHO VANESSSA KWA JUX

 Mkali wa kubembeleza na kutoa nyimbo zenye ujumbe mwingi wa mapenzi hapa namzungumzia juma jux mwanzo mwa weekend hii ameonyesha picha ambazo zinauchora mwili wake na kuonesha kua hapendi kua na kitambi.
Jux ambaye kwa muda mrefu amekua na mahusiano ya kimapenzi na mkali mwenzake  hapa na mzungumzia Vanessa mdeee, wawili hao wameamua kuuweka uhusiano huo hadharani kila mmoja ajue nini dhumuni lao 




HIZI NDIZO PICHA ALIZO POST