LOWASA ASEMA MKIMCHAGUA TUU.....

NITAENDESHA NCHI KWA MCHAKAMCHAKA



Mgombea uraisi kupitia tiket ya chadema amesema kua akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano atahakikisha kuwa serikali yake inaanzisha kituo maalum cha jamii 'one stop centre' kitakachokuwa kikitoa huduma kwa umma sehemu moja ili kupunguza urasimu katika kupata huduma hizo.



 Mgombea Urais CHADEMA+UKAWA Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo Kwenye mkutano wa kampeni

Umati wa wananchi wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya polisi kumsikiliza mgombea urais kwa tiket ya chadem

Mgombea Urais CHADEMA+UKAWA Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo Kwenye mkutano wa kampeni




M/kiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, akiwahutubia Umati wa wananchi Himo na kumnadi Mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa