SAUTI SOL KUFANYA CALLABLE NA JOHN LEGEND
SAUTI SOL KUFANYA CALLABLE NA JOHN LEGEND
Wakali flan tokea uwanda wenye vipaji likuki hapa nazungumzoia wakali tokea kenya (SAUTI SOL) Mapema wiki hii waweamua kuvunja ukimya na kutaka kufanya callable na mkali wa #ALL OF ME ....... Kama bado huja mjua baaaasi usipate shida nipo kwa ajili yako >>>
sauto sol wameamua kuwafungukia mashabiki kwamba hivi sasa wana mpango wa kurudia wimbo wao mpya wa #ISABELA wakimshirikisha john legend wewe kama shabiki wake unachotakiwa kufani ku tag #JohnLegendforIsabellaRemix @johnlegend hivo yaani