Amani haijaribiwi. Ukitafuta kura kanisani au msikitini leo ukashindwa maana yake dini imeshindwa, na hiyo ni tiketi ya hakika ya machafuko.