Crane umeanguka katika Masjid Al Haram huko Makka
#BREAKING NEWS
Crane
umeanguka katika Masjid Al Haram huko Makka na kuuawa / kujeruhiwa watu wengi
ambao walikuwa wamekwenda kwa Hijja, Duas aliomba takribani nizaidi ya watu 65
wamefariki dunia na wengine 80 wamejeruhiwa vibaya … vyanzo vinasema sababu
ilikua ni upepo mkali
BAADHI YA PICHA ZIKIONESHA TUKIO HILO