ALIKIBA USO KWA USO NA NE-YO
ALIKIBA APATA ZALI LA KUMSHIKA MKONO NE-YO
>
Msanii wa kizazi wa bongo flava alikiba apata shavu la kumsika mkono msanii wa mbele (neyo) hii ilikua ni kwene program ya cokestudio africa ambapo, takribani ni wasanii 5 watakua kwenye jukwaa moja wasanii hao ni
ALIKIBA - TANZANIA
WANGECHI - KENYA
ICE PRINCE ZAMANI -NIGERIA
MAURICE KIRYA - UGANDA
DDOBLING - MOZAMBIQE
please follow us on
INSTAGRAM youngsuper12
TWITTER youngsupper
BAADHI YA PICHA ZA WASHIRIKI WA #COKESTUDIOAFRICA