ALIKIBA KUFANYA CALLABLE NA SAUTI SOL
BAADA YA KUMALIZA BIFU NA MTOTO WA TANDALE SASA AANZA KUVUKA MIPAKA
youngsuper.com |
ali kiba ni msanii aliye vuma sana kwa vibao vingi kama vile
sindelela,usiniseme na vingine vingi baaada ya kua na sinto fahamu kati yake yeye na mkali wa POP east afrika #baba tiffah sasa wamemaliza tofauti zao na mchizi kaanza kutoka nje ya mipaka hivi leo kasha fanya collable na wakali wa sauti toka kenya (SAUTI SOL), na hivi punde atanya colable na msanii flan toka mbele
youngsuper.com |