LYRICS Ange Taina Only
LYRICS | Ange Taina Only
(INTRO)
Beybee Beybee Eeeh
Beybee Beybee Eeeh
(VERS 1)
Shola Baby,Leo Mishe Zimebuma
Na Nikitazama Hali Yetu Ndani,
Hata Kibiriti Hakuna
Sio Kama Napenda Mke Wangu
Ukose Huduma,
Vumilia Siku Moja Mifuko Yetu Itatuna,
Wasi wasi Wangu,Kama Hali Ikikuchosha
Na We Ndo Nguzo Yangu,Ukiniacha Nitadondoka
(BRIDGE)
Vumilia Kuna Siku Yataisha Mama
Itakuwa Story Yakupita Mama
Madeni Tulokopa Tutalipa Mama Eh
Na Wala Hatutodhalilika Tena Babe
(CHOURLAS)
ONLY ONE I LOVE
ONLY
YOUR THE ONLY ONE I LOVE
ONLY × 2
(VERS 2)
Yaani Mpaka Buku Linanishinda
Ili Ukasuke Tu Tatu Kichwa Mupenziii
Mlo Wetu Wenyewe Si Wakushiba
Ila Ndo Ivo Unaridhika Kipenziiiiiiiii
(Aaaaaahh Yayayaa)
Ooh Maiyooo
Natamani Kurudia Utoto
BONGO NYOOOSO
Siwezi Changamoto
Nyingi Sana Sana
Wasi wasi Wangu,Kama Hali Ikikuchosha
Na We Ndo Nguzo Yangu,Ukiniacha Nitadondoka
(BRIDGE)
Vumilia Kuna Siku Yataisha Mama
Itakuwa Story Yakupita Mama
Madeni Tulokopa Tutalipa Mama Eh
Na Wala Hatutodhalilika Tena Babe
(CHOURLAS)
ONLY ONE I LOVE
ONLY
YOUR THE ONLY ONE I LOVE
ONLY × 2
(OUTRO)
Your The Only One
Only One
Your The Only One
Only One Beybe
You’ve got something to tell us or bring our attention to something on the site,Want to Advertise with us You have information to share like articles, music, funny pictures and more then submit to
youngsuper12@gmail.com or
+255655514912"
"If you are a music artist, be it upcoming or famous you and you wish to drop your music for fans to access online. You can Send your song to youngsuper12@gmail.com or +255655514912"
youngsuper12@gmail.com or
+255655514912"
"If you are a music artist, be it upcoming or famous you and you wish to drop your music for fans to access online. You can Send your song to youngsuper12@gmail.com or +255655514912"