SIJAMUONA BABA BORA KWA KUZAA NAE

SIJAMUONA BABA BORA KWA KUZAA NAE



Host wa kipindi kinachoibua vipaji vya (usanii) uimbaji BONGO STAR SEARCH
, penny aamuaa kufunguka na kusema kwamba hata weza kutaja mahusiano yake ya kimapenzi kwa sasa, hii imekuja baada ya penny kuonekana anapost picha  akiwa na wanaume tofauti tofauti. penny alifunguka hayo baada ya kuulizwa ana mpango gani wa kua na mtoto ikiwa aliekua bwana ake kipindi cha  nyuma  (DIAMOND PLATNUMZ) ameshapata mtoto????

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA




















“Kwa maneno haya mtu anaweza kudhani nabagua lakini ninachotaka mimi ni kuwa na baba wa mwanangu anayejua maana ya familia nisije kumuumiza mtoto wangu bure,” alisema Penny.
PENNY aliongeza akisema anahitaji baba wa mtoto anaejiewa na anajua nn thamani ya mtoto.alisema

kwa kifupi nahitaji baba bora tutakae panga  nae maisha na kuwalea wanentu