POMBE NA MAELFU YA WATU

HUU NDIO UMATI WA MAGUFULI 

Naomba kura zenu. Mafisadi wameungana
kushindana, lakini kwa kuwa niko kwa maslahi ya wananchi wote bila kuwabagua, tutashinda

Mgombea Urais-CCM Dr John Magufuli akihutubia Maelfu ya Wananchi na WanaCCM Makambako kwenye Mkutano wa kampeni

Mgombea Urais-CCM Dr John Magufuli akihutubia Maelfu ya Wananchi na WanaCCM Makambako kwenye Mkutano wa kampeni