FINALLY AUNT EZEKIEL RESIGN TO BE A MEMBER OF UKAWA

FINALLY AUNT EZEKIEL RESIGN TO BE A MEMBER OF UKAWA




The bongo movie star aunt ezekiel earl this week has resigned to be a member of ukawa. major resons za yeye ku disappear ni ubovu wa kimfumo katika uongozi, uratibu na misimamo pamoja na Fujo kwa Wafuasi 


THAT IS WHAT SHE HAS POSTED 

Nimeamua kuondoka Chadema na vuguvugu la Ukawa kwa sababu mbalimbali: moja ni ubovu wa kimfumo katika uongozi, uratibu na misimamo. Fujo: Wafuasi wengi Ukawa bado wana muhemko kwenye kufanya mambo. Naamini uongozi wa nchi unahitaji busara kuhimili kazi. Tumefeli hilo. Kwa siku 39 zilizobaki nitaongea na mamilioni ya mashabiki wangu kuhusu msimamo wangu. Naondoka Chadema, nitamuunga mkono Magufuli".